Description
nyumba inauzwa ipo msongola mbondole jiji la ilala dsm nyumba ya vyumba 3 vya kulala daingiroom stingiroom stoo kicheni master toilet public nyumba mpya nyumba bei ml 45 nyumba aipo mbali na Barbara ya rami km 2 kutoka rami nyumba full tairiz nyumba umeme upo maji yapo nyumba ukubwa wa eneo ni SQMT 900 nyumba hati yake ya mauziano ya selikali ya mtaa bei ml 45