Description
Nyumba inauzwa ipo kitunda kivure Nyumba ya vyumba 3 vya kulala stininroom dining room kitchen toilet public mastr bedroom Nyumba umeme upo maji yapo Nyumba full tairizi Nyumba Ina sevetikota cha chumba 2 Nyumba umeme upo maji yapo Nyumba Ina Hati yake ya mauziono ya serekali ya mtaa ukubwa wa kiwNja sqm 800 Nyumba bei ml 60