Description
nyumba inauzwa ipo kitunda kivure kwa wamakonde nyumba ya vyumba 3 vya kulala daingiroom stingiroom stoo kicheni master toilet public nyumba ina fremu chumba 1 nyumba ina kisima cha maji kasambaza kwa raia 50 nyumba hati yake ya mauziano ya selikali ya mtaa ukubwa kiwanja sqm 400 nyumba bei ml 46