Description
nyumba inauzwa ipo kitonga ya mbande Dar nyumba ya vyumba 3 vya kulala daingiroom stingiroom stoo kicheni master toilet public nyumba mpya nyumba ukubwa wa eneo ni SQMT 400 nyumba mpya nyumba aipo mbali na Barbara ya rami km 2 kutoka rami nyumba full tairiz nyumba umeme karipia maji yapo nyumba bei ml 48