Details
Description
Hii ni nyumba nzuri ya KUHAMIA. Ilipo kuna njia mbilk. Unaweza kuingilia BOKO BASIHAYA au tena u aweza kupitia UNUNIO.. Hii ni nyumba ya Kkwanja cha kwenge kona. Ina vyumba 3 (Masta 1) Pia Sebule. Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400. KIMEPIMWA (Hati bado kutoka) Mtaa mzuri na tulivu ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuikagua Tshs.50,000 (Unalipa wewe Mnunuzi) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.