Details
Description
Nyumba nzuri YA KUHAMIA. Ni nyumba ya kisasa katka Kiwanja chrnye ukubwa wa SQM.550. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Vyumba 4 vya kulala ( 3 Vyoo ndani) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Ndani ya Fensi, Parking yakutosha. Mta tulivu na Salama. ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ________zw