Details
Description
Hii nyumba ipo VIKINDU, Barabara ya Kilwa, kuelekea MKURANGA. Ni nyumba yenye vyumba 3 ( Masta 1) Pia Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Pia Ina Frem moja ya Biashara. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu _________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.