Details
Description
Hapa sasa kupanga utake wewe. Tunakuletea nyumbà ya Familia (Kwa asie na makuu) YAKUHAMIA mojakwa moja. Nyumba yenye vyumba 3 (Masta 1) Pia Ina Sebule,Ji na Choo cha Familia. Kiwanha kina ukubwa wa. 300. Umiliki ni LESENI YA MAKAZI. Ipo umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami ya KIJICHI. _____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ______mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema plse