Details
Description
Nyumba nzuri ya kizamani, Mtaa mzuri na mpana. Kiufupi kwa BEI HII Ni KUOKOTA. Kiwanja Mita za Mraba 300. Umiliki ni HATI ( TITLE DEED) ya Wizara kabisa. ________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ________________t Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.