Details
Description
Nyumba ya kisasa ya KUHAMIA. Ipo mita 400 tu kutoka Barabara ya Lami. Ujenzi wa kuficha Bati (CONTEMPORARY) Vyumba vya kulala 3 (Kila chumba na Choo chake) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia. Kiwanja SQM. 800. KIMEPIMWA (HATI itatoka kwa Jina la Mnunuzi) Pia kuna: Jiko na Choo cha WAGENI NJE CCTV, Electric Fence ACs Garden na Parking yenye Paving kwa uchache. ______ ANGALIZO Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) ________