Description
Nyumba ya Kisasa, Kali na Nzuri Inauzwa MAHALI: Bunju Shule 1. Ina vyumba 3 (1 master), sebule kubwa, jiko, dinning, choo cha kawaida, store, jiko la nje, iko ndani ya fensi, umeme, maji yapo, n.k 2. Ukubwa wa Kiwanja: 500sqm 3. Umiliki: Hati 4. Umbali toka barabarani: 500 mita 5. Gharama za Kupelekwa Site Elfu 20