20.11.2021Tanzania, Dar es Salaam

NYUMBA YA KISASA INAUZWA MTONI

TZS 100 000 000

Description

*NYUMBA YA KISASA INAUZWA DAR ES SALAAM**Mahali ilipo:* Mtoni Kijichi - Manispaa ya Temeke Dar Es SalaamIna vyumba vitatu vya kulala, Sitting & Dining rooms, Public toilet, kitchen, Frem moja ya Duka, Mabanda ya kuku, Fence (Uzio) Maji, Umeme n.k*Ukubwa wa kiwanja: *sqm600* kimepimwa na kupatiwa Hati kamili ya wizara *(Title Deed)*Bei elekezi ni *Tsh mil 100* na maongezi yapo.Nyumba ipo katika mtaa mzuri sana *(Corner Plot)* na inatazama Barabara ya Lami katika pande zote mbili.Kwa maelezo zai

Sulle

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam