12.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA YA KISASA INAUZWA CHANIKA MWISHO MJINI DAR ES SALAAM

TZS 28 000 000

Description

NJOO TUKUHUDUMIE KWA UAMINIFU MKUBWA SANA KWA TSHG MIL 28,000,000/= MIL 28 IPO CHANIKA MWISHO MJINI DAR ES SALAAM ?? UKUBWA ENEO SQM 400 INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM WOTE MNAKARIBISHWA SANA BADO IPO WAHI MTEJA

MR CHAPU CHAPU

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam