26.05.2025Zanzibar Urban/West

NYUMBA VYUMBA 7,KIEMBESAMAKI

TZS 280 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
750 m2

Description

Hii ni nyumba yakisasa yenye nafasi na ambayo ipo jiranj na Uwanja mkubwa wa Ndege wa Unguja. Ni umbali wa wastani wa kilomita 12 tu kutoka STONE TOWN. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 750. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Hii nyumba Ina jumla ya vyumba 7 vya kulala. Kati ya hivyo vyumba 4 vina vyoo ndani. Pia Ina Sebule 3, Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Pa4king ipo yenye Paving lakini pia kuna Kisima na ACs. ___ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. ___

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Zanzibar Urban/West