Details
Description
Hii nyumba ipo katika Kiwanja chenye Ukubwa wa SQM.625. Kiwanja hiki KIMEPIMWA (HATI HAIJATOKA BADO) Ndani ya Fensi na Geti kwa Usalama. Parking ya kutosha. Pia kuna Frem ya Duka. Ipo umbali wa Mita 900 tu kutoka Barabara ya Lami. Ujenzi wa kisasa. Vyumba 3(Masta 1) Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia. ____________ ANGALIZO: Maliok ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe Mnunuzi) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu ____________mpg