Details
Description
Hizi ni Apartments ambazo kwa ujumla wake zina vyumba vya kulala 8. Moja kubwa Ina Vyumba 3 (Masta1) Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Nyingine Chumba kimojakimoja, Ambazo zote ni Masta. Ni umbali wa Mita 400 tu kutoka Barabara ya Lami, Pale UKONGA MOMBASA. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.