Description
Kama Unaokota Dodo Jagwani Vile Nyumba 3 Ndani ya Fensi Moja Zinauzwa MAHALI: Goba Mpakani 1. Nyumba ya kwanza ina vyumba 3 (1 master), jiko, dinning, sebule, choo cha kawaida n.k 2. Nyumba ya pili ni kama ya kwanza. 3. Nyumba ya tatu ina chumba, sebule na choo 4. Ukubwa wa Kiwanja ni 1200 sqm, kiwanja kimepimwa bado hati. 5. Mbele kuna fremu 4 za biashara 6. Umbali: 2km 7. Gharama za Kupelekwa Site Elfu 20