Details
Description
Hii nyumba ipo eneo la PONGWE. Ni kabla ya Kituo cha KANGE ukitokea SEGERA kuelekea TANGA Mjini. Nyumba nzuri, Ina vyumba vya kulala 3 (masta1) Pia Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________jh