Details
Description
Hii ni nyumba kubwa ya kizamani. Ipo KIJITONYAMA SAYANSI. Ukubwa wa Kiwanja ni SQM. 500. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. PANAFAA KUWEKA JENGO LA KISASA kwa MAKAZI/BIASHARA kama Apartments nk. ____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____________emNg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.