Details
Description
Hapa kuna nyumba kubwa YAKUHAMIA na yenye jumla ya vyumba vya kulala vinne (4) Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani. Pia kuna Pagale la vyumba 3 lililoishia kwenye Linta, Na vilevile kuna Fremu/Maduka 4. Eneo ni KIVULE KWA MPEMBA. Gari moja tu kufika Mjini. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 460. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Kuona nipange mapema _________mskv