28.12.2021Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA NZURI INAUZWA-MASAITI

TZS 350 000 000

Description

NYUMBA INAUZWA Mahali : TEGETA MASAITI 1. Vyumba 4 (vyote masters), jiko, dinning, sitting room mbili, choo cha kawaida, bar, ofisi, gym, laundry room (chumba cha kufulia) n.k 2. Ukubwa wa Kiwanja: 1822 sqm 3. Umiliki: Hati Miliki 4. Gharama za Kupelekwa Site Elfu 20

Estate Professional Brokers

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam