Description
NYUMBA NA FREMU 5 ZA BIASHARA INAUZWA. Mahali: Temeke-Mitaa ya mwembe yanga 1. Nyumba imegawanyika sehemu mbili 2. Sehemu ya kwanza ina sebure, vyumba viwili, jiko na choo. 3. Sehemu ya pili ina sebure, vyumba 3, jiko, choo na bafu. 4. Slide windows na tiles 5. Fremu 5 za biashara 6. iko barabarani. 7. Sehemu ni nzuri kwa makazi au ukitaka kubadilisha kuweka biashara. 8. Ukubwa wa kiwanja: makadirio 500-600sqm 9. Document ya umiliki: Leseni ya Makazi