Description
-Location Tegeta block G mtaa wa bahari. -Ina vyumba vitano master moja, vyoo viwili vya public, kitchen, dinning na sitting room -AC ipo kila sehemu ina sebule mbili juu na chini, kuna Balcon sita, jiko kubwa lenye makabati yakutosha na kisasa. -Ina hati miliki