10.02.2025Dar es Salaam

NYUMBA MPYA UNJU-KIFULU MBZ

TZS 65 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
400 m2

Description

Hii ni nyumba mpya ya mjengo wa kosasa (CONTEMPORARY) Ipo MBEZI-KIFULU-UNJU. Vyumba 3 ( 2 Vyoo ndani) Pia kuna Sebule,Jiko, Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Ipo ndani ya Fensi na Parking ni kubwa na ina Paving. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam