27.01.2025Dar es Salaam

NYUMBA MPYA ROOM 4, CHAMAZI

TZS 105 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
460 m2

Description

Hii ni nyumba nzuri MPYA. Ina jumla ya vyumba 4 (2 ni Masta) Pia kuna Sebule,Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Ipo MBAGALA CHAMAZI, Jirani na Barabara ya Lami. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 460. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ina Parking yenye Paving, Kisima cha Maji na Umeme wa LUKU. ___ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu ____rr Kukagua taarifa mapema tafadhali .

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam