Details
Description
Hii ni nyumba mpya ya kisasa YAKUHAMIA. Ipo MBAGALA CHAMAZI. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 4 (Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Huduma za Umeme na Maji zipo. Parking yenye Paving ipo ya kitosha. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________r Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.