24.04.2025Dar es Salaam

NYUMBA MPYA ROOM 3,PUGU KONA

TZS 75 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
700 m2

Description

Hii ni nyumba nzuri kubwa inayojitegemea. Ndani ya Fensi na yenye Parking ya kutosha. Ipo jirani na Kituo cha Daladala na Barabara ya Lami. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 3 (Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. _____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _____tp Ukihitaji kukagua Toa taarifa mapema.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam