Details
Description
Hii ni nyumba mpya. Na INAUZWA KWA DHARULA. ipo KWAKIDUMBA, MBAGALA CHAMAZI. Umbali wa mita 200 tu kutoka Barabara ya Lami/Kituo cha Daladala. Vyumba 3 (masta 1) pia Ina Sebule, Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Huduma za Umeme na Maji zipo. Parking ndani ya Fensi. ________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.