07.02.2025Dar es Salaam

NYUMBA MPYA KVULE KONA

TZS 30 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
300 m2

Description

Hii ni nyumba mpya ambayo ipo KIVULE KONA YA MSONGOLA. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) _________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam