Description
INAUZWA CHANIKA MWISHO MJINI DAR ES SALAAM KWA TSHG MIL 36 UKUBWA WA ENEO SQM 400 INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM NYUMBA IMEKAMILIKA NIKUHAMIA TU NJOO TUMALIZE BIASHARA WOTE MNAKARIBISHWA SANA KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAMIMI