Details
Description
ukubwa wa kiwanja 25 x 25 pamepimwa vyumba vitatu vikubwa kimoja master jiko,sebule,dinning na stoo kubwa ndani mashimo ya maji taka tayari umeme umefika jirani na maji yamefika usalama wa kutosha, pumbing bomba tayari na bomba za umeme tayari barabara itapita lami majiran wapo wa kutosha malipo awamu 2 yanapokelewa kibamba kimbegere picha zaid na video nipo whatsapp 0652340253, karibu