Details
Description
Hizi ni nyumba mbili katika Kiwanja kimoja. Eneo ni UBUNGO KIBO/ROMBO. Jirani sana na Barabara ya Lami ya Morogoro. Gari inafika lakini Haingii ndani. Ukubwa wa KIWANJA ni SQM.800. Umiliki ni LESENI YA MAKAZI. ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ________mpg Nyumba moja Ina vyumba 4 na nyingine ina vyumba 3. Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.