30.01.2025Dar es Salaam

NYUMBA MBILI PAMOJA UKONGA

TZS 80 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
400 m2

Description

Nyumba MBILI NZURI katika Kiwanja kimoja ZINAUZWA. Zipo UKONGA MAGEREZA. Ni jirani na Barabara ya Lami. Zote zina Wapangaji. kubwa Ina vyumba vya kulala 3 (Masta 1) Nyingine ina Vyumba vya kulala 2 ( Masta 1) Kila moja ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Ndani ya Fensi na Parking salama ipo. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Unalioa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ________mskv

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam