Details
Description
Hizi ni nyumb mbili nzuri ambazo zipo katika Kiwanja kimoja chenye ukubwa wa SQM. 622. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba hizi kila moja inajitegemea na ina jumla ya vyumba 3 vya kulala ambapo kuna Masta ni moja na pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Zipo ndani ya Fensi na Parking ni ya kutosha. Mtaa tulivu na umejengeka. ____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tuwasiliane iwapo unaridhia taratibu. ___mpg