23.01.2025Dar es Salaam

NYUMBA MBILI PAMOJA PUGU

TZS 170 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
1000 m2

Description

Hizi ni nyumba nzuri za kisasa katika kiwanja kimoja. Nyumba ya kwanza ina jumla ya vyumba vya kulala 5. ambapo kati yake 3 vina Vyoo ndani. Nyumba ya pili Ina vyumba vya kulala 3 ambapo kimoja kina Choo ndani. Nyumba zote kila moja ina Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1,000. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) _________tp

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam