Details
Description
Hizi ni nyumba kubwa 2 katika Kiwanja kimoja. Kila moja inajitegemea. Na kila moja ina jumla ya vyumba 4. Moja ina Mata na nyingine ina-share Vyoo. Zote zina Wapangaji sasahivi. Eneo ni CHANIKA KWANGWALE/ILALA. Zipo Mita 400 tu kutoka Barabara ya Lami. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. ______ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _____mpg