Details
Description
Hizi ni nyumba mbili za KISASA na FREM/MADUKA MAWILI ndani ya kiwanja kimoja. Eneo ni KIVULE FREMU-KUMI. Jirani na Hospitali ya Wilaya Serikali, Maarufu AMANA NDOGO. Kila nyumba moja inajitegemea. Vyumba 3 (Masta 1) Pia Sebule,Jiko, Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 580. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nzuri kwa FAMILIA KUBWA AU KUINGIZA KIPATO/KUPANGISHA. ___ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) ___mskv