Details
Description
Nyumba inauzwa ipo mbezi kwa msuguli msingwa ina vyumba v3 sebule jiko daining chumba master public eneo sqm 400 Bei mil 35 maongezi yapo maji kashavuta umeme were lingi tayali km moja umbali toka barabara ya lami ya zege kutoka shule ya msingi malamba au miter 800 tu na miter 700 toka msingwa scondary na miter 500 toka stendi ya bajaji masaki hii nyumba Ina vituo vya usafiri vitatu karibu whatsap au piga 0629671030