Description
nyumba kubwa inauzwa mkundi sheli ina vyumba 5 vya kulala maste 2, na public toileti inayojitegemea na bafu iko fineshed kila kitu tairis na rangi kote ina umeme na mifumo yote ya majitaka na maji safi, ipo mkundi sheli sehemu iliyojengeka vizuri, ina uwanja mkubwa sqm 1200 bei milion 85, bei inazungumzika