05.03.2022Tanzania, Morogoro

Nyumba kubwa inauzwa KIHONDA

TZS 45 000 000

Description

Nyumba kubwa inauzwa kihonda kilimanjaro ina sifa zifuatazo Ina vyumba 6 vyote masta Ina sebule kubwa sana Ina allumian madirisha yote Ina fensi pande mbili za pembeni kubwa, mtaa una umeme na maji, bei milion 45,

ANTONY S.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Morogoro