09.03.2025Dar es Salaam

NYUMBA KINONDONI

TZS 250 000 000

Details

Terms
Yearly in advance
Price per square unit
No
Square units
303 acreas

Description

📍NUNUA nyumba (gofu) ipo KINONDONI karibu na Moyo Clinic, Chuo cha Huria Biafra Grounds nk..pia kutembea na miguu unafika AMERICAN CHIPS, MSKITI MPYA WA BAKWATA nk... panafaa sana kununua LEO na kujenga nyumba yako ya kisasa KESHO YAKE!! 📐warithi weshaweka nyaraka zote za Mahakamani kuwa safi kabisa na wamekubaliana kuuza kwa TZS 250,000,000 na kurudi mikoani na fedha zao! ☎️wasiliana na 0713-671-656 au 0693-167165 au 0686-260-818 kupanga ratiba ya kwenda kuicheki mara moja haraka. 📲 WhatsApp

ABM&Co. Real Estate Services

Member since 2014.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam