28.02.2025Dar es Salaam

NYUMBA KALI KINYEREZI ROOM 3

TZS 95 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
450 m2

Description

Hii ni nyumba nzuri ya kisasa na YAKUHAMIA. Ipo umbali wa kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Lami. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba ina vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Pia Ina Servant's Quarter yenye vyumba 2 (Ghorofa) Huduma za Umeme na Maji zipo. ___ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___mpg

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam