Details
Description
*. Nyumba inauzwa ipo KIGAMBONI maeneo ya MWONGOZO ya vyumba viwili kwa urahisi unaweza kuongeza kuwa Nyumba ya vyumba hadi 5 na pia kujenga nyumba nyingine juu ardhi yake ya kuwa ya familia ziada au kukodisha kupata mapato ziada kila mwezi! Ukaribu na baharini ipo kilomita moja na umbali kutoka barabara kuu ya lami kilomita mbili tu!!* . Maeneo ya maendeleo kubwa kwasababu zote miradi kubwa za NSSF na Watumishi Housing wapo hapo jirani tu. . Pia unapata hati miliki safi ya Wizarani hapohapo ba