Description
- Nyumba ipo Dodoma mjini. (nkuhungu- Ndachi ) - kiwanja kina sqm. 500 - Ina vyumba 3 vya kulala, kimoja ni master. - ina sebule na dining. - ina vyoo 2. - ina nyaraka zote. - ina tiles na full madirisha ya aluminium. kwa mawasiliano zaidi piga: đź“ž 0653267966 0753377076 ( ipo whatsapp )