05.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA INAUZWA

TZS 100 000 000

Description

#INAUZWA? #House For Sale at Mabibo NIT @100M '''''''''''''''''' #Vyumba vitatu vya kulala (kimoja master bedroom), sebule, jiko, dinning, fenced, parking, iko sehemu nzuri inafaa kwa kuushi, kupangisha. Ipo karibu na Chuo cha NIT, ipo karibu na daradara ziendazo Sinza, Kariakoo, Magomeni, Kinondoni, Makumbusho, Mwenge.. nk #Bei ni 100,000,000/= #service charge 20,000/= ---------------------------------------------- #Kama_unaNYUMBA_unaipangisha/kuuza_pia_wasiliana_nami. ?Ndani_ya_DSM_yote

Dalali N. D.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam