Description
NYUMBA KUBWA SANA NA ENEO LA KUTOSHA INAUZWA MILION 45 MAONGEZI YAPO. INAPATIKANA KIVULE WILAYA YA ILALA, DAR ES SALAAM PIGA/WHATSAAP 0673823647. Nyumba ina vyumba vinne vya kulala, Chumba kimoja master bedroom, Sebule kubwa, dining room, Jiko na Store yake, Umeme, Maji. Ina mabanda ya kuku, eneo kubwa zaidi ya square meter 800, imezunguka fence yote. Bei inauzwa Milion 45 na Maongezi yapo kidogo wahi mapema, maisha ni nyumba kwa maelezo zaidi Piga/Whatsaap 0673823647/0744993715