Details
Description
HII NYUMBA INAUZWA IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE AU KUTOKEA KIMARA KOROGWE KOTE UNAFIKA 📌BEI MILION 55📌 ❌IPO KWENYE FENS YA PEKE YAKE ILA GARI AIFIKI VIZUR INAISHIA KAMA ATUA 10 TU❌ ENEO NI SQMT 300 INA VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE DAINING JIKO ZURI NA PUBLIC TOILET INA TILES GYPSUM ALUMINUM WHTATSAP AU PIGA 0629671030