Details
Description
NYUMBA INA ENEO KUBWA SANA NI SAWA NA (ROBO HEKA) Nyumba inauzwa ipo kitunda kinyatira 🖌️NYARAKA YAKE NI LESENI YA MAKAZI Bei milion 38 punguzo lipo 📌ENEO NI SQM 1650 Ina jumla ya vyumba v5 kimoja masta dining siting jiko stoo Tailz jipsam maji nyumba ipo ndan ya fens 👉INA KISIMA KIKUBWA CHA MAJI (drill machine) whatsap au piga 0629671030