Details
Description
Nyumba inauzwa ipo mbande wilaya temeke milion 35 inapungua kias mkoa dsm nyumba inapande mbili upande 1 vyumba 2 stingrum choo chapabriki inakaa familia 1. Upande wa pili kunavyumba 2 yn stingrum pabriki nyumba kubwa Sana uwanja mkubwa kutokea stendi whatsap au piga 0629671030