11.10.2021Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA INAUZWA-UBUNGO

TZS 150 000 000

Description

*NYUMBA INAUZWA* NYUMBA HII INAJITEGEMEA YENYEWE IPO UBUNGO SHEKILANGO KARIBU NA UBUNGO PLAZA ___ HII INA Vyumba 4 vizuri na kimoja hapa masterbedroom Jiko Sebure tamu Dinning Choo cha familia Ukubwa wa Kiwanja: 600 sqm ___ Gharama za Kupelekwa Site Elfu 20

Estate Professional Brokers

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam